News Update
Posted by: Head Master
Ndugu Mzazi au Mlezi mlete mwanao shule ya awali na msingi, bweni na kutwa Mount Moriah kwa malezi bora na maadili mema, taaluma bora pamoja na ufumbuzi na ukuzaji wa k/vipaji ch/vyake.
Shule ya msingi Mount Moriah ni shule bora kitaaluma, imekuwa na Ufaulu Mzuri katika mitihani ya ndani na nje (Taifa).
Mabweni ya kutosha kwa wavulana na wasichana.
Maktaba na maabara ya kisasa kwa elimu ya vitendo.
Lebu ya tarakirishi (computer) kwa ajili ya kukuza elimu ya TEHAMA.
Walimu wabobezi wenye uzoefu, maadili na wito katika taaluma yao.
Mandhari bora na wezeshi inayomshawishi mwanafunzi kujifunza.